1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Corona: Jinsi ambavyo ugonjwa wa COVID-19 ulivyobadili maisha jijini Nairobi

5 Mei 2020

Kenya ni miongoni mwa nchi ambazo zimechukua hatua kadhaa za kuepusha kusambaa kwa virusi vya corona, ikiwemo kupiga marufuku usafiri wa kuingia au kutoka katika jiji kuu Nairobi, ila tu kwale wenye kibali. Je hali hii imeathiri vipi maisha ya wakaazi wa mji huo? Fahamu mengi kwenye vidio hii.

https://p.dw.com/p/3cFv5