1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Chuo cha kwanza barani Afrika cha kutengeneza drones

Yusra Abdallah Buwayhid / MMT10 Februari 2020

Kwenye makala Sema Uvume, safari hii tunaangazia chuo cha kwanza barani Afrika cha kutengeneza drones, yaani ndege zisizohitaji rubani. Aidha tutaangazia jinsi mitandao ya kijamii hasa ule wa Instagram unavyotumiwa kufanya matangazo ya kimitindo. Mtayarishaji ni Yusra Buwayhid.

https://p.dw.com/p/3XYmV