JamiiCheza Mpira Vaa MpiraTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiJosephat Charo15.01.201915 Januari 2019Vijana wa kisiwa cha Pate katika kaunti ya Lamu washiriki mradi wa kupambana na magonjwa ya zinaa na kuzuia mimba za mapema unaoratibiwa na shirika la Safari Doctors. Jiunge na Thelma Mwadzaya katika kipindi cha Vijana Tugutuke. https://p.dw.com/p/3BUP5MatangazoVijana wachezaji kandanda kutoka Lamu wakiwa wametulia mbele ya kombePicha: DW/T. MwadzayaKijana mdogo mchezaji wa soka akisimama kando ya kombePicha: DW/T. MwadzayaFahmy Mahir, kocha wa timu ya Safari Doctors akisimama kando ya kombe laoPicha: DW/T. Mwadzaya