1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Changamoto za watoto wenye ulemavu vijijini

Wakio Mbogho11 Oktoba 2017

Katika maeneo mengi ya mashambani nchini Kenya, watoto walio na ulemavu bado wanapitia changamoto si haba zinazotatiza juhudi zao za kuishi maisha ya kawaida. Kwa baadhi ya watoto hawa, itikadi kali, hali ya umasikini na ukosefu wa miundo mbinu vmekuwa kizuizi kwao kufurahia elimu ambayo ni haki yao ya kimsingi. Ungana na Wakio Mbogho kujua mengi katika makala yetu Leo.

https://p.dw.com/p/2ldBp