1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Changamoto za reli ya SGR kwa uchumi wa Mombasa

Faiz Musa29 Julai 2020

Katika Makala Yetu iliyoandaliwa na Faiz Musa, tunaangalia ujenzi wa reli mpya nchini Kenya, SGR na changamoto zinazoukabili uchumi wa mji wa bandari wa Mombasa na eneo la pwani kutokana na reli hiyo ya kisasa.

https://p.dw.com/p/3g72v