JamiiChangamoto za kupata vitambulisho vya kitaifa KenyaTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiMichael Kwena/MMT28.08.202028 Agosti 2020Vijana wengi wa jimbo la Isiolo nchini Kenya wamekuwa na changamoto ya kupata vitamvbulisho vya kitaifa. Lakini sasa serikali imeanzisha tena mchakato wa kutoa waraka huo muhimu. Sikiliza makala ya Vijana Tugutuke na Michael Kwenahttps://p.dw.com/p/3heMSMatangazo