CHADEMA kuahirisha maandamano ya UKUTA | Matukio ya Afrika | DW | 30.09.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Siasa tanzania

CHADEMA kuahirisha maandamano ya UKUTA

Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani Tanzania CHADEMA, Freeman Mbowe, amesema maandamano yaliyopangwa kufanyika Oktoba Mosi yatasogezwa na kufanyika tarehe isiyojulikana. Hawa Bihoga anaripoti kutoka Dar.

Sikiliza sauti 02:54
Sasa moja kwa moja
dakika (0)

Mahojiano na Hawa Bihoga kutoka Dar

                       

Sauti na Vidio Kuhusu Mada