Burundi kubakia ndani ya EAC | Matukio ya Kisiasa | DW | 30.09.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Jumuiya ya Afrika Mashariki

Burundi kubakia ndani ya EAC

Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki imetupilia mbali kesi iliyofunguliwa na asasi za kiraia zikitaka Burundi iondolewe katika Jumuiya hiyo kwa sababu ya Rais Pierre Nkurunziza kugombea muhula wa tatu.

Sikiliza sauti 02:45

Ripoti ya Charles Ngereza kutoka Arusha

                       

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com