1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bundesliga yakaribia kufika ukingoni

Josephat Charo
26 Juni 2020

Bremen wanahitaji ushindi - wanakabiliwa na kitisho cha kushuka daraja kwa mara ya kwanza katika miaka 40. Bremen ilipoteza 3-1 katika mechi yao na Mainz wikendi iliyopita, huku Düsseldorf na Augsburg zikitoka sara ya bao 1-1.

https://p.dw.com/p/3ePMq