1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Bitcoin

Bitcoin ni mfumo wa malipo ya mtandaoni na jina la sarafu ya digitali. Malipo ya Bitcoin yanatumia tarakimu. Inawezekana kutuma na kupoeka Bitcoin bila kutoa taarifa zozote zinazokutambulisha.

Sarafu hii ya mtandaoni imekuwepo tangu mwaka 2009. Ili kufanya malipo kwa kutumia Bitcoin, unahitaji pochi ya mtandoni inayotumia code. Unaweza kununu Bitcoin kwa viwango maalumu vya ubadilishanaji kwenye mtandao. Viwango vya ubadilishanaji vinabadilika mara kwa mara kulingana na ugavi na mahitaji. Uhamishaji unafanyika kwa mchanganyiko wa computer zilizounganishwa kwa intaneti vila chombo kikuu cha uratibu.