1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bingwa wa mabingwa wa Marathon Eliud Kipchoge azungumza na DW kuhusu afya ya akili ya wanamichezo

24 Machi 2022

Ametajwa kuwa bingwa wa mabingwa wa nyakati hizi. Lakini zaidi ya rekodi zake za ulimwengu na pia kugonga vichwa vya habari, kuna mengi zaidi kumhusu Eliud Kipchoge. Kwenye mahojiano maalum na DW, Kipchoge anatukaribisha katika shamba lake na anaangazia hali ya afya ya wanamichezo, lakini pia jinsi anavyojidhibiti kuwa na fikra chanya hata anapokabiliwa na changamoto. VijanaMubashara 77Asilimia.

https://p.dw.com/p/48ymC