1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Beni yakumbuka wahanga wa mashambulizi ya ADF.

Lilian Mtono
15 Oktoba 2019

Wakaazi wa mji wa Beni mashariki ya Congo leo wanakumbuka miaka mitano tangu yalipoanza mauwaji yanayoelezwa kufanywa na waasi wa kundi la ADF la kutoka Uganda. Siku kama ya leo mwaka wa 2014 watu zaidi ya thelathini waliuawa na ADF na hadi sasa mauwaji hayo yanaendelea. Sikiliza ripoti hii ya John Kanyunyu.

https://p.dw.com/p/3RItC