BEIRUT:wanajeshi wauawa Lebanon | Habari za Ulimwengu | DW | 20.08.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

BEIRUT:wanajeshi wauawa Lebanon

Wanajeshi wawili wameuawa katika mapigano yaliyotokea kwenye kambi ya wakimbizi ya Nahr al-Bared kaskazini mwa Lebanon.

Askari 138 wa Lebanon wameshauawa tokea mapigano baina yao na wanaitikadi kali hao yaanze mnamo mwezi mei.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com