1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bayern yaparamia kileleni mwa Bundesliga

Josephat Charo
20 Septemba 2021

Bayern Munich waparamia kileleni mwa ligi ya Bundesliga baada ya kuipa kisago Bochum 7-0. Katika ligi ya Premier Christian Pullisic wa Chelsea kukosa mechi dhidi ya Aston Villa kutokana na jeraha. Mmarekani Trayvon Bronell avunja rekodi yake katika mbio za mita 100 na kushinda mashindano ya Kipchoge Keino jijini Nairobi.

https://p.dw.com/p/40ZwR