1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bayern yajiimarisha kileleni mwa Bundesliga

Josephat Charo
9 Machi 2020

Borussia Dortmund wakabana koo na Borussia Moenchengladbach katika derby ya Borussia. Manchester United yaicharaza Manchester City katika derby ya Manchester. Nchini Kenya Gor Mahia wawatia adabu AFC Leopards na huko Tanzania, wekundu wa msimbazi Simba waangukia pua katika derby ya Kariakoo.

https://p.dw.com/p/3Z72R