1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bayern wamnyatia mlindalango Yann Sommer

Josephat Charo
17 Januari 2023

Bayern Munich wawameanza mazungumzo na Borussia Mönchengladbach kwa lengo la kumsajili mlindalango wa klabu hiyo Yann Sommer. Kocha wa Bayern anampendelea Sommer ajaze pengo la mlindalango nambari moja wa Bayern Manuel Neuer ambaye atakosekana hadi mwisho wa msimu baada ya kuvunjika guu.

https://p.dw.com/p/4MINy