1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bayern wakaribia kulitwaa taji la Bundesliga

Josephat Charo
7 Juni 2020

Bayern Munich inakaribia kutwaa taji la nane mfululizo la ligi kuu ya kandanda ya Ujerumani, Bundesliga, baada ya kuishinda Bayer Leverkusen 4-2 siku ya Jumamosi (06.06.2020)

https://p.dw.com/p/3dOZM