1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bayern wajiimarisha kileleni mwa Bundesliga

Josephat Charo
14 Novemba 2022

Bayern Munich wamejiimarisha kileleni mwa ligi ya Bundesliga. Vincenzo Grifo afunga hattrick huku Freiburg ikiiteremsha Union Berlin katika nafasi ya tano. Marcus Thuram wa Borussia Moenchengladbach na Yusuf Poulsen wa RB Leipzig wajumuishwa katika vikosi vya timu zao za taifa kwa kombe la dunia Qatar.

https://p.dw.com/p/4JVd8