1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bayern waendeleza ubabe katika Bundesliga

Josephat Charo
26 Mei 2020

Bao la Joshua Kimmich dakika ya 43 limeipa Bayern ushindi wa 1-0 dhidi ya mahasimu wao Borussia Dortmund Jumanne (26.05.2020). Bayern wamepiga hatua kubwa kuelekea kushinda taji la nane mfululizo la ligi kuu ya kandanda ya Ujerumani, Bundesliga.

https://p.dw.com/p/3co1A