1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bayern Munich waendeleza ubabe Bundesliga

Josephat Charo
27 Septemba 2021

Bayern Munich waipiku Fürth na kuendelea kuongoza ligi ya Bundesliga. RB Leipzig yaipa kipigo ha mbwa koko Hertha Berlin sita mtungi. Huko nchini Tanzania, ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara yan'goa nanga baada ya klabu ya Yangu kushinda ngao ya jamii. Katika ligi ya Premier, kocha wa Manchester City Pep Guardiola ampongeza Bernado Silva kwa mchango wake katika ushindi wao dhidi ya Chelsea.

https://p.dw.com/p/40wJy