1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Ban Ki-Moon

Ban Ki-moon ni mwanasiasa kiongozi kutoka Korea Kusini ambaye ni Katibu Mkuu wa nane wa Umoja wa Mataifa, baada ya Mghana Koffi Annan.

Ni waziri wa mambo ya nje wa zamani wa Korea Kusini na alichukuwa wadhifa wa Ukatibu Mkuu 2007. Muhula wake utamalizika 2016. Ban ni baba wa watoto watatu. Anazungumza Kikorea, Kiingereza, Kifaransa, Kitaliana, Kijerumani, pamoja na Kijapani.

Onesha makala zaidi