BAGHDAD: Mashambulizi yameua hadi watu 12 nchini Irak | Habari za Ulimwengu | DW | 19.08.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

BAGHDAD: Mashambulizi yameua hadi watu 12 nchini Irak

Watu wasiopungua 12 wameuawa na wengine 31 wamejeruhiwa katika shambulizi la makombora lililofanywa mashariki ya mji mkuu Baghdad leo Jumapili.Kwa mujibu wa afisa mmoja katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Irak,shambulizi hilo lilifanywa wakati wa mapambano makali kati ya wanajeshi wa Kimarekani na wanamgambo katika mtaa wa Obaidi,eneo wanakoishi Washia wengi.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com