Bado watu waokolewa kwenye ghorofa lililobomoka Nairobi
Alfred Kiti6 Mei 2016
Karibu wiki moja baada ya ghorofa moja kuporomoka, watu kadhaa wameweza kutolewa kwenye vifusi vya jengo hilo lililopo kwenye mtaa wa Huruma, Nairobi. Majengo yaliyojengwa kiholela yaanza kubomolewa.