1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

ASEAN

Association of South East Asian Nations (ASEAN) ni shirika lililoanzishwa mwaka 1967 kuinua ushirikiano kwenye eneo la kusini mashariki mwa Bara la Asia, ambako China na Marekani zinawania kuwa na ushawishi.

Wanachama wa ASEAN ni Indonesia, Malaysia, Ufilipino, Singapore na Thailand, Brunei, Myanmar, Cambodia, Laos na Vietnam. Viongozi wa mataifa hayo hukutana kwa mkutano wa kilele mara mbili kwa mwaka.

Onesha makala zaidi