Angela Merkel: Miaka 15 kama Kansela wa Ujerumani | Mada zote | DW | 24.11.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Angela Merkel: Miaka 15 kama Kansela wa Ujerumani

Angela Merkel amekuwa Kansela Ujerumani tangu 2005. Haya hapa ni miongoni mwa mafanikio yake makuu ambayo yaliongoza taifa katika mabadiliko makuu.