Al-Sissi ataka suluhisho wakimbizi Afrika | Media Center | DW | 12.02.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Al-Sissi ataka suluhisho wakimbizi Afrika

Katika siku ya mwisho ya mkutano wa kilele wa mataifa ya Afrika mjini Addis Ababa hapo jana, Al-Sissi aliwaambia viongozi wenzake kwamba wanapaswa kukabiliana na tatizo la wakimbizi, wakimbizi wa ndani na wahamiaji kwa njia jumuishi.

Tazama vidio 01:11