1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ajenga shule kutumia taka za chupa ambazo zimeokotwa baharini kisiwani Lamu

30 Julai 2019

Je unafanya nini wakati jamii yako inakumbwa na tatizo la utupaji taka? Katika kisiwa cha Lamu Kenya, Omar Islam anawafundisha watoto, kuwa takata kutoka kwa mtu mwengine zinaweza vifaa vya kutumika katika ujenzi!

https://p.dw.com/p/3N0Pj