ABUJA: Serikali mpya haitostahmilia rushwa | Habari za Ulimwengu | DW | 27.07.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

ABUJA: Serikali mpya haitostahmilia rushwa

Rais wa Nigeria,Umaru Yar’Adua amelitawaza baraza jipya la mawaziri 39 na kuonya kuwa atatekeleza sera “isiyostahmili rushwa hata kidogo.“Yar’Adua amewateua mawaziri wadogo 3 wa nishati na hivyo yeye ndio atadhibiti sekta za petroli,gesi na nishati.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com