31.05.2021 - Taarifa ya Habari ya Asubuhi | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 31.05.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

31.05.2021 - Taarifa ya Habari ya Asubuhi

Jumuiya ya kiuchumi ya Ecowas imetangaza kusitisha uanachama wa Mali baada ya jeshi kufanya mapinduzi. Washambuliaji wenye silaha wamewateka nyara wanafunzi kadhaa nchini Nigeria. Maandamano makubwa yamefanyika nchini Ethiopia kupinga vikwazo vya Marekani.

Sikiliza sauti 08:00