Ikulu ya Kremlin imesema hii leo kwamba Urusi haijabadilisha msimamo wake kuhusiana na masharti iliyoyatoa ili kufikia makubaliano ya amani nchini Ukraine+++Uganda-Mjadala mkubwa baada ya Jenerali Muhoozi Kainerugaba kuagiza kufungwa kwa baadhi ya vyombo vikuu vya habari+++Mgogoro unaendelea ndani ya Chama cha upinzani nchini Tanzania cha CUF