1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

28.11.2019 Matangazo Ya Mchana

SK2 / S02S28 Novemba 2019

Watu watano wanaripotiwa kuuwawa leo baada ya wapiganaji wa maimai kushambulia kituo cha shirika la afya WHO katika mji mdogo wa Biakato, jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo//China leo imetishia kulipiza kisasi baada ya Marekani kupitisha sheria ya kuunga mkono vuguvugu la kupigania demokrasia mjini Hong Kong

https://p.dw.com/p/3Tt5K