1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

27.12.2020 - Matangazo ya Jioni

27 Desemba 2020

Zaidi ya watu 37 wamekufa katika ajali ya basi iliyotokea magharibi mwa Cameroon. Chanjo nyingine dhidi ya virusi vya corona yapata mafanikio makubwa. Uchaguzi wa rais na bunge wafanyika nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati.

https://p.dw.com/p/3nGK3