1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

27.01.2021 - Matangazo ya Asubuhi

27 Januari 2021

Rais wa Marekani Joe Biden amezungumza na mwenzake wa Urusi kwa mara ya kwanza tangu alipoapishwa. Mawaziri wa kundi la G7 wamelaani kukamatwa kwa kiongozi wa upinzani nchini Urusi. Idadi ya waliokufa kutokana na janga la virusi vya corona nchini Uingereza yapindukia watu laki 1.

https://p.dw.com/p/3oSrR