25.09.2020 Matangazo ya Jioni | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 25.09.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

25.09.2020 Matangazo ya Jioni

Kim Jong Un ameomba radhi baada ya wanajeshi  wa nchi yake kumpiga risasi na kumuua  afisa kutoka Korea kusini// Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM Humphery Polepole amevishambulia vyamavya upinzani kwa "kupotosha ukweli."

Sikiliza sauti 60:00