25.09.2020 Matangazo Ya Asubuhi | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 25.09.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

25.09.2020 Matangazo Ya Asubuhi

Siku mia moja baada ya kuchukua hatamu za uongozi, wachambuzi wanasema Rais wa Burundi, Evariste Ndayishimiye hajaleta mabadiliko yoyote nchini humo// Hakuna mkataba wa kurejesha uhusiano baina ya Saudi Arabia na Israel, lakini tayari kumekuwa na ujumbe wa kukaribiana na Wayahudi

Sikiliza sauti 51:59