1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

24.05.2019 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S24 Mei 2019

Wapiga kura vijana katika Umoja wa Ulaya wamekuwa wakiandamana na kuteka akili za wanasiasa katika makao makuu ya Umoja huo Brussels//Huku serikali ya Kenya ikitangaza kuwa kuna ukuaji wa kiuchumi nchini humo, wakenya wengi bado wameelendelea kulalamika kuhusu kuongezeka kwa gharama ya maisha

https://p.dw.com/p/3IztU