Tume huru ya uchunguzi wa vurugu za wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29 nchini Tanzania leo imekabidhi ripoti yake mbele ya rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan+++Iran imesema haitafungua tena Mlango Bahari wa Hormuz hadi Marekani itakapoondoa mzingiro wa bandari zake.