1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

22.11.2016 Taarifa ya Habari Asubuhi

Daniel Gakuba
22 Novemba 2016

22.11.2016 Taarifa ya Habari Asubuhi

https://p.dw.com/p/2T2hd

Rais Mteule wa Marekani Donald Trump aahidi kuiondoa nchi yake katika mkataba wa biashara huru katika ukanda wa Pasifiki, mnamo siku yake ya kwanza ofisini, Tetemeko kubwa laupiga mkoa wa Fukushima nchini Japan, lakini tahadhari ya Tsunami iliyokuwa imetolewa, yaondolewa, Pande hasimu nchini Yemen zalaumiana kuvunja makubaliano ya kusitisha mapigano.