1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

22.03.2019 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S22 Machi 2019

Shirika la Maendeleo la Afrika Mashariki na Upembe wa Afrika- IGAD inafanya mkutano wa dharura kuepusha mizozo miongoni mwa jamii zinazoishi katika maeneo ambako ukame na baa la njaa vinatishia maisha// Rais Donald Trump wa Marekani amezidisha makali ya mzozo wa mashariki ya kati kwa kunyunyizia mafuta katika cheche za moto za mmzozo wa milima ya Golan

https://p.dw.com/p/3FWle