1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

20.08.2018 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S20 Agosti 2018

Nchini Uganda hasia na vurugu za hapa na pale zimeendelea kwasiku ya nne mfululizo mji mkuu Kampala huku waandamanaji wakipinga hatua ya serikali kuendelea kuwashiklia wabunge wawili ambao inasemekana hali yao ya afya inazidi kuwa mbaya

https://p.dw.com/p/33RJr