1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

19.07.2018 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S19 Julai 2018

Rais wa China Xi Jinping anaanza leo ziara itakayompeleka katika mataifa ya Umoja wa Falme za Kiarabu, Senegal, Rwanda na Afrika Kusini, ambako atahudhuria mkutano wa kundi la nchi zinazoinukia kiviwanda duniani maarufu kama BRICS.

https://p.dw.com/p/31jNE