1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

19.06.2018 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S19 Juni 2018

Msafara mkubwa wa kutembea kwa miguu wa kundi la wanaharakati wenye lengo la kushinikiza amani nchini Afghanistan, umewasili mji mkuu Kabul baada ya kutembea kwa takribani mwezi mmoja wakitokea jimbo la Helmand, kwa lengo la kushinikiza amani ya katika taifa hilo

https://p.dw.com/p/2zpDf