1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

19.04.2019: Matangazo ya Mchana

19 Aprili 2019

Miongoni mwa yaliyomo kwenye Matangazo yetu ya mchana ni pamoja na Urusi yaikosoa ripoti ya mshauri maalumu Robert Mueller ikisema haina vithibitisho kwamba iliingilia uchaguzi wa Marekani na huko nchini Sudan, waratibu wa maandamano wanuia kutangaza baraza la mpito la kiraia siku ya Jumapili. Lakini pia kuna makala maalumu kabisa za siku ya Ijumaa Kuu.

https://p.dw.com/p/3H5KC