18.09.2020 Matangazo Ya Jioni | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 18.09.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

18.09.2020 Matangazo Ya Jioni

Kiongozi wa upinzani nchini Belarus Svetlana Tikhanovskaya amewasilisha ombi kwa UN la ujumbe wa uangalizi kutumwa nchini humo kukusanya habari kuhusu msako wa ghasia unaofanywa na polisi dhidi ya wafuasi wake// Joto la uchaguzi mkuu wa Novemba 3 nchini Marekani, linaendelea kushika kasi katika kipindi hiki

Sikiliza sauti 60:00