1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

18.06.2020 Matangazo Ya Asubuhi

TSA / S08S18 Juni 2020

Huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, uchunguzi wa mauaji ya jaji aliyekuwa akisimamia kesi ya msaidizi wa juu wa rais, Vital Kamerhe unaendelea// Wafanyabiashara wa nyama na ngozi ya punda wanashusha pumzi baada ya mahakama kuu kubatilisha uamuzi uliowawekea marufuku mwanzoni mwa mwaka huu

https://p.dw.com/p/3dyho