1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

17.11.2018: Matangazo ya Mchana

Lilian Mtono
17 Novemba 2018

Shirika la Ujasusi la Marekani, CIA, limethibitisha Mwanamfalme Mohammed bin Salman wa Saudi Arabia ndiye aliyeamuru mauaji ya mwandishi habari Jamal Khashoggi, China na Marekani zavutana kuhusu mzozo wa kibiashara kati yao na Aliyekuwa waziri wa Brexit David Davis, asema makubaliano yaliyofikiwa kati ya Waziri mkuu Theresa May na Umoja wa Ulaya hayataidhinishwa na bunge.

https://p.dw.com/p/38Qml