1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

16.10.2019 Matangazo Ya Jioni

SK2 / S02S16 Oktoba 2019

Bado hakuna suluhisho lililofikiwa katika kutafutia ufumbuzi vipengee muhimu vinavyosababisha mkwamo katika mazungumzo ya Brexit kati ya Umoja wa Ulaya na Uingereza wakati viongozi wakuu wakijiandaa kukutana//Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amewataka wanajeshi wa kikurd waweke chini silaha na kulihama eneo la kaskazini mwa Syria

https://p.dw.com/p/3ROyh