16.06.2017 Matangazo ya Asubuhi | Anza | DW | 16.06.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

16.06.2017 Matangazo ya Asubuhi

Mawaziri wa Fedha wa kanda ya sarafu ya Euro wamekubaliana kuipa Ugiriki fedha za uokozi zilizokuwa zimesubiriwa kwa muda mrefu. Marekani itawatuma wanajeshi 4,000 zaidi nchini Afghanistan. Na maafisa wa ulinzi wa Marekani na Qatar wamesaini mkataba wa mauzo ya ndege za kivita wa thamani ya mabilioni ya dola

Sikiliza sauti 52:00