14.06.2019 Matangazo ya Mchana | Media Center | DW | 14.06.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

14.06.2019 Matangazo ya Mchana

Marekani inaamini kuwa Iran inahusika na kushambuliwa kwa meli za mafuta kwenye mlango wa bahari wa Hormuz katika Ghuba ya Oman//Baraza tawala la kijeshi nchini Sudan limekiri kwa mara ya kwanza kabisa, wao ndio walioamuru wanaharakati waliopiga kambi mbele ya makao makuu ya jeshi mjini Khartum

Sikiliza sauti 60:00