1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

13.10.2020 - Taarifa ya Habari ya Asubuhi

V2 / S12S13 Oktoba 2020

Rais Donald Trump wa Marekani arejea kwenye kampeni baada ya kupona COVID-19. Urusi imezitaka Armenia na Azerbaijan kuheshimu makubaliano ya kusitisha mapigano. Juhudi za kuzima moto kwenye mlima Kilimanjaro bado zinaendelea

https://p.dw.com/p/3jpS4